Nyimbo Za Kristo | Song Logic

NZK 006 – Kumekucha Kwa Uzuri

6. Kumekucha Kwa Uzuri

The Morning Bright With Rosy Light

Key: F Major

1

Kumekucha kwa uzuri Nafumbua macho;
Baba amenihifadhi, Ni wake moto.

2

Bwana niwe leo kutwa Ulinzini mwako;
Nisamehe dhambi, niwe Mikononi mwako.

3

Roho wako anikae moyoni daima;
Anitakase, nione Uso wako mwema.